Kenya yaalika mahakama ya ICC

Kenya yaalika mahakama ya ICC kusikiliza kesi za watuhumiwa wa ghasia za uchaguzi uliopita. Ubalozi wa Marekani Afrika kusini wafunga ofisi zote za Marekani kufuatia vitisho vya kiulinzi.