wanjala ajiuzulu

Naibu mkurugenzi wa tume ya kupambana na rushwa Kenya, Dr Smoking Wanjala ajiuzulu baada ya bunge kupinga uwamuzi wa Rais Kibaki kumteua tena.