wabunge wa Kenya bado wajadili uteuzi wa Ringera

Majadiliano yaendelea Kenya kuwashawishi wabunge kuidhinisha uteuzi wa jaji Aaron Ringera kuongoza tume ya kupambana na rushwa. Rwanda itafanya uchaguzi mkuu Agosti 9 mwaka 2010.