Mjumbe Maalum wa Marekani kuzuru Darfur

Mzozo juu ya uteuzi wa Jaji Aaron Ringera utaendelea kujadiliwa. Mjumbe maalum wa Marekani atafanya ziara ya siku tano Kusini mwa Sudan na mkoa wa Darfur.