Habari kwa ufupi.

Utafiti mpya uliotolewa leo unaonyesha nusu ya idadi ya wasomali wanahitaji misaada ya kibinadamu.