Clinton awasili Liberia

Waathiriwa wa njaa Kenya wapewa namba ya simu kuwasiliana na serikali ili kupewa msaada wa haraka wa chakula. Waziri Clinton yuko Liberia kuunga mkono rais pekee mwanamke barani Afrika.