Marekani kuipa msaada zaidi Angola

Marekani kuipa Angola msaada wa fedha kwa mapambano ya ukimwi. Maharamia wa kisomali waiachia meli ya Italy waliyoiteka.