Marekani, Afrika Kusini wajadili hali ya Zimbabwe

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Hillary Clinton anasema Marekani na Afrika Kusini zitafanya kazi pamoja kuleta mabadiliko ya kweli nchini Zimbabwe.