Clinton aitaka Kenya iwe na jukumu la uongozi

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani autaka uongozi wa Kenya kuonyesha uongozi bora katika karne ya 21. Wafanyakazi wawili misaada nchini Chad hawajulikani walipo.