baraza la mawaziri Kenya lakutana

Mawaziri Kenya wakutana kujadili tena juu ya kuundwa mahakama kusikiliza watuhumiwa wa ghasia baada ya uchaguzi. Wanaharakati 100 wauliwa katika ghasia za Nigeria.