IMF kuzisaidia nchi zenye kipato cha chini

Duniani (IMF) inasema itatoa dola bilioni 17 katika kipindi cha miaka mitano ijayo kuzisaidia nchi zenye kipato cha chini ambazo zimekumbwa na mzozo wa fedha. Katika taarifa yake jana Jumatano, IMF imesema pia inasimamisha kwa muda viwango vya riba kwa baadhi ya mikopo kwa nchi zinazoendelea hadi mwaka 2011.