Raila Odinga kutetea msitu wa Kenya

Warizi mkuu wa Kenya amesema hatoruhusu kuharibiwa msitu wa mau wenye mzozo.Mgomo wa kitaifa wa wafanyakazi wa serikali afrika kusini waingia siku ya pili.