rais wa indonesia atangazwa mshindi

Rais Bambang wa Indonesia atangazwa mshindi wa uchaguzi wa rais mwezi huu. WHO imesema mafua ya nguruwe yameenea kote duniani na kuuwa watu 800 tangu mwezi aprili.