Kibaki ateua wakuu wapya

Rais Kibaki amefanya mabadiliko makubwa ya wakuu wa utawala katika mikoa na wilaya na amemteua mkuu mpya wa mkoa wa Nairobi. Katika uteuzi kuna mwanamke wa kwanza kuwa mkuu wa mkoa nchini.