Madoff sentenced

Mwekezaji Bernard Madoff wa New York aliyekiri kurubuni wawekezaji na kuwapotezea mabillioni ya dolla apewa kifungo cha miaka 150 jela; wachache watazamia kurudishiwa fedha zao.