Mwamuziki Michael Jackson afariki

Michael Jackson mwanamuziki maarufu wa pop afariki dunia. jackson alikimbizwa katika hospitali ya Los Angeles, California leo baada ya kupata mshtuko wa moyo.