Kenya Somalia

Waziri Wetang'ula asema Kenya itaingilia mgogoro wa Somalia. Hakutoa maelezo zaidi kwa waandishi wa habari leo kama hatua hizo zitakuwa za kijeshi ama la.