marekani na israel watofautiana

Marekani na Israel watofautiana kuhusu upanuzi wa makazi ya walowezi wa kiyahudi katika eneo linalokaliwa na Israel huko Ukingo wa Magharibi