maandamano zaidi Iran

Wanaharakati wapenda mageuzi waazimia kufanya maandamano zaidi nchini Iran kupinga matokeo ya uchaguzi yaliyomrejesha madarakani Rais Mahmoud Ahmedinejad.