Air France yapotea

Ndege ya Air France bado haijulikani ilipo baada ya kupotea katika rada ikitoka Brazil kwenda Ufaransa. Ina zaidi ya watu 200 ndani.