Clinton - Israel

Waziri Hillary Clinton amesema utawala wa Obama unataka Israel isitishe ujenzi wa makazi yote ya Ukingo wa Magharibi na kutafuta ufumbuzi wa mataifa mawili.