swahili headlines

Mashahidi wasema jeshi la Ethiopia laingia Somalia, lapiga kambi karibu na mji wa Beledweyne. Kesi ya watu 11 wanaoshutumiwa kuuwa Albino yaanza Burundi leo.