Mafua ya Nguruwe Africa

WHO yachunguza kesi moja inayodhaniwa ni mafua ya nguruwe huko Benin. Ikithibitika itakua ya kwanza barani Afrika. Ushelsheli imeripoti huwenda kuna watu wanne wameambukizwa.