Meli yatekwa Somalia

Kikosi cha ulinzi wa Pwani, Marekani chatafakari hatua dhidi ya meli iliyotekwa Somalia. Ina wafanyaakazi wakimarekani 21 ndani yake.