Hospitali nyingi Afrika zinakabiliwa na upungufu wa dawa za kutibu malaria

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati dunia inaadhimisha siku ya malaria hospitali nyingi za Afrika zinakabiliwa na upungufu wa madawa ya .kutibu ugonjwa huo.

Zaidi ya watu 150 wamefariki Tanzania kutokana na mafuriko yanayoendelea katika ukanda wa Afrika Mashariki

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari