Edwik anaeleza mafunzo aliyopata ya kuwalinda watoto wakati wa majanga katika warsha iliyoandaliwa na Raising Up Friendship ya Tanzania.

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.