Dunia yasherehekea Siku ya Kiswahili Duniani
Tafrija ya kilele cha siku ya Kiswahili Zanzibar
Rais Hussein Mwinyi apokea tunzo ya Siku ya Kiswahili Dunania
Maonyesho ya siku ya Kiswahili, Fort Jesus Mombasa
Sherehe za siku ya Kiswahili Mombasa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Philip Mpango katika maadhimisho ya siku ya kiswahili duniani
Maonyesho ya siku ya Kiswahili Mombasa
Audrey Azoulay, Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO akitoa ujumbe juu ya Siku ya Kiswahili Duniani.