Mchambuzi: Wapenzi wa jinsia moja wanaoishi na HIV Uganda wataendelea kuteseka

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Museveni alipitisha mswaada wenye adhabu kali dhidi ya watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja kuwa sheria ya ushoga ya mwaka 2023, baada ya kufanyiwa marekebisho. Wachambuzi: wanasema wapenzi wa jinsia moja wanaoishi na HIV wataendelea kuteseka