Uharibifu wa miundombinu uliosabishwa na mafuriko DRC waathiri shughuli za masomo

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati ikielezwa kwamba zaidi ya watu 400 wamefariki kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi nchini DC, uharibifu wa miundombinu umeendelea kuathiri shughuli za masomo.