Wabunge wa Marekani kuanzisha uchunguzi dhidi ya China

Your browser doesn’t support HTML5

Wabunge wa Marekani wameanzisha uchunguzi mpana wa miaka miwili wa mkakati wa Marekani wa ushindani na China wiki hii, kwa kuwasikiliza wanaharakati wa haki za binadamu wa China, na washauri wa usalama.