Waziri wa elimu Kenya Ezekiel Machogu anasema wizara yake itashirikiana na makanisa kufuatilia suala la LGBTQ mashuleni halipewi fursa

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.