Wananchi wa Nigeria wapiga kura kumchagua rais mpya na viongozi wengine. Jumla ya wagombea 18 wanawania wadhifa wa urais.

Your browser doesn’t support HTML5

Wizara ya Ulinzi ya Uingereza yasema huenda Russia imepungukiwa na silaha na wapiga kura nchini Nigeria wamejitokeza kumchagua rais mpya pamoja na viongozi wengine.