DRC: Shambulizi la kanisa na athari za mlipuko wa bomu kwa raia

Kiatu kilichoachwa katika eneo la tukio la shambulizi la bomu kanisani DRC.

Kanisa la CEPAC lililoshambuliwa na wanaoshukiwa kuwa magaidi.

Mabaki ya viatu an viti vilivyoharibiwa na mlipuko wa bomu katika kanisa mjini Kasindi, Wilaya ya Beni, DRC.

Mmoja wa walioathiriwa na mlipuko wa bomu kanisani.

Wanachi wajitokeza kushuhudia shambulizi la kanisa moja mjini Kasindi, wilaya ya Beni, DRC.

Wanachi wajitokeza kushuhudia shambulizi la kanisa moja mjini Kasindi, wilaya ya Beni, DRC.

Viatu na magongo viliyobakia baada ya mlipuko wa bomu katika kanisa moja mjini Kasindi, wilaya ya Beni.

Eneo lililoshambuliwa kwa bomu tayari likiwa chini ya ulinzi wa jeshi la DRC

Mmoja wa majeruhi wa shambulizi la kigaidi lililotokea katika kanisa moja mjini Kasindi, wilaya ya Beni, DRC.

Jeshi la DRC likifika katika tukio la mlipuko wa bomu.

Maafisa wa Jeshi la DRC wakiwa katika eneo la tukio la shambulizi.

Makamanda wa Jeshi la DRC wakiwa katika eneo la tukio la mlipuko huko DRC.

Wanajeshi wa DRC wakiwa katika eneo la tukio la shambulizi la bomu nchini DRC.

Ulinzi waimarishwa katika eneo la kanisa lililoshambuliwa nchini DRC.

Mmoja wa majeruhi wa shambulizi la kigaidi lililotokea katika kanisa moja mjini Kasindi, wilaya ya Beni, DRC.

Mmoja wa majeruhi wa shambulizi la kigaidi lililotokea katika kanisa moja mjini Kasindi, wilaya ya Beni, DRC.

Muuguzi akiwa katika kituo cha afya ambapo majeruhi wa shambulizi la kanisani nchini DRC wamelazwa.

Shambulizi la bomu katika Kanisa la Kiprotestanti mjini Kasindi, Wilaya ya Beni, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, lilileta maafa makubwa kwa raia waliokuwa wanahudhuria ibada.