Wadau waeleza walivyopokea matokeo ya kidato cha nne Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Kutokana na matokeo hayo mdau Nyakorema Tiona anasema kuna umuhimu wa kujua wale watoto wanaoachwa nyuma kwa mahitaji ya karne ya 21. Ni muhimu kujua walio na project zenye kubadili maisha kuliko kujua waliokuwa wa kwanza kwa kupata alama za juu.