Kiongozi wa kanisa Katoliki Duniani Papa Francis anatarajiwa kuzuru DRC mwishoni mwa mwezi huu

Your browser doesn’t support HTML5

Balozi wa Vatican mjini Kinshasa Ettore Balestrero alisema ziara ya Papa Francis nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo itaikumbusha dunia kutopuuza mizozo ya miongo kadhaa ambayo imelikumba taifa hilo lenye utajiri wa madini na kuharibu maisha ya mamilioni ya watu. DRC ina wakatoliki milioni 45