Somalia yapata uungwaji mkono katika kampeni ya kutaka kuondolewa vikwazo vya silaha

Your browser doesn’t support HTML5

Somalia inapata uungwaji mkono katika kampeni yake ya kutaka kuondolewa kwa vikwazo vya silaha baada ya Ethiopia kuungana na Uganda kuunga mkono hatua hiyo.