Zaidi ya watu milioni 2 katika jimbo la Florida nchini Marekani wamekosa umeme baada ya kimbunga Ian kuingia na kuua watu wasiopungua 12

Your browser doesn’t support HTML5

Kimbunga Ian chenye nguvu kubwa kinatarajiwa kutua leo Ijumaa jimbo la South Carolina kabla ya kuhamia maeneo ya ndani ya jimbo hilo na kuelekea jimbo la North Carolina kufikia Jumamosi.