Mgonjwa ya UKIMWI, Kifua Kikuu, na Malaria yapatiwa fedha

Your browser doesn’t support HTML5

Magonjwa ya UKIMWI, Kifua Kikuu, na Malaria yapatiwa fedha zaidi ili kuyakabili hasa kwenye mataifa yanayo taabika nayo. Vita vya Ukraine na Russia bado vinasumbua biashara zisizo za lazima kwa vijana wa mataifa yanayo endelea.