Tshisekedi ahutubia mkutano wa 77 wa baraza kuu la Umoja wa Mataifa

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo, Felix Tshidekedi, ni kati ya viongozi wa nchi na serikali ambao wamehutubia kikao cha 77 cha Umoja wa mataifa mjini New York katika siku ya kwanza ya kongamano hilo, na kuelezea changamoto zinazozidi kuikumba nchi yake na hatua zinazohitaji kuchukuliwa.