Rais wa Msumbiji wa Filipe Nyusi asema kwamba usalama umeimarishwa Cabo Delgado.

Your browser doesn’t support HTML5

Kiongozi huyo ameomba makampuni ya kuchimba mafuta yasiogope kuwekeza kaskazini mwa nchi kwa kuwa sasa usalama umeimarika.