Vijana wafaidika na kuimarika kwa sekta ya utalii Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Vijana ni kati ya makundi yanayofaidika na kuimarika kwa sekta ya utalii katika hifadhi na mbuga za Ngorongoro na Serengeti ambazo zimeendelea kushuhudia ongezeko kubwa la watalii kwa wiki kadhaa mfululizo, hali iliyochangia kwa ongezeko la nafasi za ajira.