Seneta Robert Menendez wa Marekani atoa wito wa tathmini ya kina ya sera ya Marekani kwa Rwanda.

Your browser doesn’t support HTML5

Mwenyekiti wa Kamati ya Uhusiano wa mambo ya Nje katika baraza la Seneti la Marekani amesema atasimamisha msaada wa usalama wa Marekani kwa Rwanda Bungeni kutokana na wasiwasi kuhusu rekodi ya haki za binadamu ya serikali ya Rwanda na jukumu lake katika mzozo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.