Nchi za Afrika zajiandaa kutoa chanjo ya kwanza dhidi ya Malaria

Your browser doesn’t support HTML5

Maandalizi yanaendelea juu ya kutoa chanjo ya kwanza ya malaria duniani kwa watu wengi, chanjo iliyofadhiliwa na mpango wa GAVI kwa dola milioni 160 kulinda mamilioni ya watoto barani Afrika.