DRC yataka Rwanda isichangie wanajeshi wa kikosi cha pamoja

Your browser doesn’t support HTML5

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imemuomba Waziri Mkuu wa Uingereza kuishinikiza Rwanda kutoshiriki katika mpango wa kuunda kikosi vha kijeshi cha kieneo, ikiishutumu Kigali kwa "kuendelea kuwaunga mkono waasi wa M23."