Wakimbizi kutoka Jamhuri ya Afrika ya kati waanza kurejea Cameroon

Your browser doesn’t support HTML5

Wakimbizi kutoka Jamhuri ya Afrika ya kati walioko Cameroon wameanza kurejea nyumbani baada ya kukimbia ghasia za kisiasa kuanzia mwaka 2014.