Rais Kagame atetea uamuzi wa serikali yake kupokea wahamiaji waliofurushwa na Uingereza

Your browser doesn’t support HTML5

Kagame anasema Rwanda kusaini makubaliano na Uingereza ya kupokea wahamiaji waliofurushwa na nchi hiyo, ni kutokana na azma ya serikali yake kuwa mstari wa mbele kwa kutetea haki za binadamu.