Maandamano Kenya kuhusu kupanda kwa bei ya bidhaa muhimu

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Afrika kusini atangaza mafuriko kuwa janga la kitaifa, Kenya ina mafuta ya petroli ya kutosha huku waliokuwa wamehodhi bidhaa hiyo wakisakwa na Mahakama maalum yaanza kusikiliza kesi za uhalifu wa kivita Afrika ya kati.