Biden awatembelea wanajeshi wa Marekani Poland

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden amekutana Ijumaa na wanajeshi wa Marekani walio mpakani mwa Ukraine na Poland

- Umoja wa Ulaya watafuta njia mbadala ya kuondoa tegemezi la mafuta kutoka Russia

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari