Prof Walter Jaoko asema Omicron sio hatari sana kama Delta

Your browser doesn’t support HTML5

Mwanasayansi, mhadhiri na mtafiti kuhusu virusi nchini Kenya Profesa Walter Jaoko, amesema kwamba utafiti unabaini kwamba aina mpya ya virusi vya Corona Omicron sio hatari kuliko virusi vya awali ikiwemo Delta na kwamba mgonjwa anaweza kutibiwa nyumbani bila kulazwa hospitalini.