Matukio ya dunia katika picha Oktoba 3, 2021

Joyciline Jepkosgei wa Kenya kwenye jukwa na wenzake wa Ethiopia katika mbiyo za Marathon za London

Joyciline Jepkosgei wa Kenya ashinda mbiyo za wanawake za Marathon za London 2021

Moto na moshi ukitanda angani katika makazi kwenye kisiwa cha Guanja, Hondurus.

Wanajeshi wa Yemen watiifu na Baraza la Mpito la Kusini STC wapiga doria mjini Aden

Nyumba zilizoungua katika kisiwa cha Guanaja, Hondurus

Maelfu ya wageni watembelea Maonesho ya Dunia Expo 2020 mjini Dubai.

magari yaliyoachwa barabarani kutokana na mafuriko mjini Muscat kufuatia kimbunga Shaheen

Kumaizika kwa mbiyo za marathon za London 2021

Mafuriko makubwa yatokea Muscat, Oman kufuatia kimbunga Shaheen.

Maandamano kumunga mkono rais wa Tunisia Kais Saied

Sisay Lemma wa Ethiopia asherehekea ushindi wake kwenye Marathon za London 2021.

Mwanamke aliyejifunika na bendera ya Brazilian anaimba wakati wa maandamano kumpinga rais Jair Bolsonaro mjini Rio de Janeiro, Brazil, Oct. 2, 2021.

Mafuriko makubwa yatokea Muscut, Oman na kusababisha vifo vya watu watatu.